Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 560 | Umetazamwa mara 1,927
Download Nota Download MidiKiitikio
//:Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki,://
//:Uniokoe na mtu wa hila asiye haki kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu://
Mashairi
1. Unirehemu sawasawa nafadhili zako, kiasi cha wingi wa rehema wa rehema zako.
2. Uyafute makosa yangu yote, unioshe kabisa uovu wangu.