Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Samwel Shitungulu
Umepakuliwa mara 1,630 | Umetazamwa mara 3,981
Download Nota Download MidiKiitikio
//:Watu nawakushukueu Ee Mungu, watu wote nawakushukuru nawakushukuru.://
Mashairi
1.Mungu na atufadhili na kutubaziki na kutuangazia nuru ya uso wake njia yake ijulikane duniani, wokovu wake katikati ya mataifa yote.
2.Mataifa na washangili naam waimbe kwa furaha maana kwa haki atawahukumu watu na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
3.Mungu na atubariki sisi, miisho yote ya dunia itamcha yeye.