Amka Dunia nawe Mtawa, Ukiwa na furaha tenda haki ishi kwa amani.
Tangaza neno lake Bwana kwa ujasiri, mwimbie Mungu kila siku wimbo wa sifa.
imba sifa za bwana tangu leo hata milele
Itazame dunia kwa pekee, iamshe dunia kwa imani. Imba wimbo wa kumsifu Mungu wako milele