Ingia / Jisajili

Namkataa Shetani

Mtunzi: Chombo Timothy
> Tazama Nyimbo nyingine za Chombo Timothy

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ubatizo

Umepakiwa na: Timothy Mlolwa

Umepakuliwa mara 297 | Umetazamwa mara 991

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ninakuja kwako Ee Yesu Mkombozi, namkataa Shetani na mambo yake. Nazikataa na fahari zake zote nakataa na fahari zake, tena nasema namkataa Shetani na mambo yake yote sitaki. Nifanye nini Ee Yesu nifike kwako mbinguni nile raha za mbinguni nikiwa nawe; Uza mali zako zote uwagawie maskini kisha fanya hivyo uje unifuate. Nimeacha dhambi zote kwake Shetani muovu hanipati tena kwani ninae Yesu; hata mimi nime mtupitia mbali Shetani nimempata Yesu kristo Mungu wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa