Ingia / Jisajili

Mtakatifu Paulo wa Msalaba

Mtunzi: Chombo Timothy
> Tazama Nyimbo nyingine za Chombo Timothy

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Timothy Mlolwa

Umepakuliwa mara 261 | Umetazamwa mara 779

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mtakatifu Paulo w Msalaba, tunakuomba ulilinde jimbo letu Kondoa. Tumekabidhiwa kwako Jimbo letu kondoa. Utuongoze mbinguni Jimbo letu Kondoa. Ee mtakatifu Paulo wa msalaba, tunakuomba ulilinde Jimbo letu Kondoa. Tudumu katika imani, mapendo na matumaini, tukitenda matendo mema yanayompendeza Mungu Tujenge kanisa la Yesu, tufanye kazi kwa bidii, tujitoleekwa pamoja tutimize wajibu wetu Tumwombe Mungu Baba mwema Baraka na neema zake, tuyavumilie mateso na mwisho tufike mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa