Ingia / Jisajili

Bila Yesu ni Bure

Mtunzi: Chombo Timothy
> Tazama Nyimbo nyingine za Chombo Timothy

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Timothy Mlolwa

Umepakuliwa mara 239 | Umetazamwa mara 798

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bila Yesu ni Bure, Bila Yesu ni Bure. Mpokee Bwana Yesu, Ukae nae Milele na milele yote. Bwana Yesu asema, aulaye mwili wangu na kuinywa damu, hukaa ndani yangu na mi ndani yake. Ekaristi takatifu ni Yesu mwenyewe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa