Ingia / Jisajili

CHUMVI NA MWANGA

Mtunzi: Chombo Timothy
> Tazama Nyimbo nyingine za Chombo Timothy

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Timothy Mlolwa

Umepakuliwa mara 366 | Umetazamwa mara 992

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kuweni Chumvi na Mwanga, kuweni chumvi na mwanga, kuweni chumvi kuweni mwanga kuweni chumvi na mwana. Kuweni chumvi kwa matendo yenu, mulikeni maovu ya dunia, watu wajifunze kwenu ahe Watu wavutiwe na njia zenu, upendo amani pia ukweli ziwe silaha zenu wote Mzikate pingu za ukabila, mjifunge mshipi wake Yesu, daima na milele Amen

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa