Ingia / Jisajili

Amri Mpya (Nakala Sahihi)

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Ndoa | Juma Kuu | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,063 | Umetazamwa mara 1,444

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Amri mpya amri mpya nawapeni ninyi (mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi) X2

Kama Baba alivyonipenda kama Baba alivyonipenda mimi na kama mimi nilivyowapenda ninyi nanyi vile vile mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi X2

1. Mimi nimewapeni mfano kama nilivyotenda mkatende hivyo

2. Kaeni katika pendo langu mpendane daima mpendane daima

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa