Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 748 | Umetazamwa mara 1,892
Download Nota Download MidiNIMEAJILIWA NA MUNGU
nimeajiliwa na mungu nifanye kazi shambani mwake nifanye kazi shambani mwake mungu kwa uaminifu
Malipo malipo malipo malipo ni juu mbinguni mshahara na malipo yangu ni juu mbinguni.
1.Mungu wangu wa upendo amenitegea sikio lake kilio maombi yangu maombi yangu ameyasikiliza
nitayatangaza makuu yake
2.Katika Maisha yangu nilitangaza neno Mungu kila pande niendaponi nitayasimulia matendo yake mshahara wangu ni juu mbinguni
3.Nitakuimbia bwana wewe mungu uliyeniinua kwa kuniumba nilivyo umeniteua nikutumikie nikutumikie bila kuchoka.