Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 2,548 | Umetazamwa mara 4,901
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Moyo Mtakatifu wa Yesu
MAKUSUDI YA MOYO WAKE
makusudi ya moyo wake ni ya vizazi ni ya vizazi na vizazi.
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa
1.Heri taifa ambalo bwana ni mungu wao watu waliowachagua kuwa urithi wake kuwa urithi wake urithi wake.
2.Toka mbinguni mbinguni bwana huchungulia huwatazama wanadamu wanadamu wote pia toka mahali pake aketipo
3.Yeye aiumbaye miungu yao wote huzifikiri kazi zao kazi zao zote wala hapana ufalme zaidi yake