Ingia / Jisajili

Enyi Wafalme Wa Dunia

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Zaburi

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Enyi walfame wa dunia mwimbieni Mungu

Kiitikio

1. Urithi wako ulipochoka uliutia nguvu kabila lalo ilifanyaka makao huko, We Mungu kwa wema wako ulifahidhi walioonewa

2. Naahimidiwe Bwana siku kwa siku kwa kutuchukulia mzigo wetu Kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa na njia za kutoka mautini



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa