Ingia / Jisajili

Naijongea Meza Yako

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Naijongea Meza Yako Ee Bwana, ili nishibishwe chakula cha mbinguni x2

Karibu Bwana karibu moyoni mwangu  ukae nami uwe nami Milele yote x2

SHAIRI

1. Bwana atualika mezani tukale mwili na damu yake ili tupate uzima wa roho.

2. Bwana asema njoni wenye njaa niwashibishe kwa Mwili wangu ili mpate uzima wa roho.

3. Mwili wa Bwana ni chakula Bora na damu yake kinywa safi , sote tujongee mezani pake.




Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa