Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 3
Download Nota Download MidiBasi kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokuvu
1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu nitatumaini wala sitaogopa.
2. Katika siku hiyo mtasema e Bwana, mshukuruni Bwana liiteni jina lake.
3. Yatangazeni matendo yake kwa mataifa, liiteni jina lake kwakuwa limetukuka.