Ingia / Jisajili

Sauti Za Muziki

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 17

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nilipo nimesikia sauti za muziki zikiimba nyimbo nzuri kumsifu Mungu.

1. Watu wote wanamsifu Bwana wakiimba kwa sauti za muziki.

2. Njoni wote tumuimbieni Bwana, tumwimbie kwa sauti ya muziki.

3. Hii ndiyo siku aloifanya Bwana mshangilieni kwa sauti za muziki.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa