Ingia / Jisajili

Amezaliwa Mkombozi

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Amezaliwa mkombozi mjini kule bethlehemu njoni wote tukamwone.

1.a) Twende na zawadi tukamtolee mtoto Yesu amezaliwa b) Wachungaji wakaenda tena kwa haraka wakamkuta maria yosefu na mtoto mchanga.

2.a) Mama jusi waliona nyota kutokea mbali wakafata mpaka alipo mwokozi b) Wakabeba zawadi kwa Yesu mtoto mzaliwa tunu uvumba na manemane.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa