Ingia / Jisajili

Shangwe Nderemo Na Vifijo

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 27

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1. Shangwe nderemo na vifijo Bwana wetu Yesu kristo kafufuka tuimbe kwa shangwe na furaha dhambi zetu zote hazipo tena

Leo ni shangwe leo ni shangwe na nderemo na vifijo, tumshangilie tumshangilie mwokozi amefufuka.

2. Tufurahi na kuimba leo ni siku yetu wote Bwana wetu amefufuka kaburini hawajamkuta

Shangwe nderemo vifijo leo, leo, leo...

3. Mwokozi wetu jasiri vita kweli ameishinda ametutoa utumwani dhidi ya muovu shetani, shangwe...

4. Nchi yatetemeka mchana giza laingia pazia lililotandikwa hekaluni linachanika, shangwe...


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa