Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 19
Download Nota Download MidiTamka neno Yesu sekunde ya kwanza ya mwaka.
1. a) Neno lenye baraka uanzapo huu mwaka, Tamka neno Yesu sekunde ya kwanza ya mwaka. b) We uliye popote ufanyaye chochote, Tamka neno Yesu sekunde ya kwanza ya mwaka. Kiitikio
2. a) Wewe uliyeona na uliyesikia, Tamka... b) Mpe heko jirani weka mbali utani, Tamka...
3. a) Omba uwe mzuri usilete kiburi, Tamka... b) Weka yako mipango kutimiza malengo, Tamka...
4. a) Wengi walitamani tumewaacha njiani, Tamka... b) Kazi ya Mungu baba kukuvusha salama, Tamka...