Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael
Makundi Nyimbo: Epifania
Umepakiwa na: Damasi Michaeli
Umepakuliwa mara 464 | Umetazamwa mara 1,595
Download NotaBethlehem leo amezaliwa ndiye Kristo Bwana Mwokozi wetu, ndiye Kristo Bwana mwokozi wetu.X2
1.malaika wanaimba wimbo mzuri sana, wakimuimbia Bwana, Mwokozi wa ulimwengu.
2.Furaha kwa ulimwengu, wokovu umefika kwenu, ameshuka Kristo Mwokozi wa ulimwengu.