Ingia / Jisajili

Ng’ambo ya mto.

Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Damasi Michaeli

Umepakuliwa mara 205 | Umetazamwa mara 1,440

Download Nota
Maneno ya wimbo
NG’AMBO YA MTO. Ng’ambo ya mto, ng’ambo ya mto naona mji, kuta zake zote ni dhahabu yerusalemu mpya, unang’aa kama marumaru yerusalemu mpya tunayoingoja. 1.uking’aa kwa utukufu wa Mungu utukufu, kama jiwe zuri jiwe lenye thamani 2.watendao mambo ya kuchukiza na uongoo hawatakngia ndani ya mji ule. 3.mji huo ni kwa ajili yao waliomo katika kile kitabu cha uzima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa