Ingia / Jisajili

Ulale vyema

Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Damasi Michaeli

Umepakuliwa mara 153 | Umetazamwa mara 687

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ulale vyema, ulale vyema tutakukumbuka daima, ulale vyema X2 1.maisha yako ni zawadi kwetu,ulale vyema. 2.mwanga wa milele ukuangazie, ulale vyema. 3.mazuri yako yatabaki kwetu, ulale vyema.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa