Ingia / Jisajili

Kikombe hiki zao la Mzabibu.

Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Damasi Michaeli

Umepakuliwa mara 231 | Umetazamwa mara 915

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kikombe hiki zao la mzabibu, mkate huu ni zao la ngano, (vigeuze mwili na damu viwe kwako sadaka timilifu ya mwanao mpenzi)X2 1.ni sadaka sawa na ile ya kalvari tunayokutolea pokea. 2.damu ya mafahali na damu ya mbuzi, hukuziridhia kutakasa dhambi. 3.malaika waichukue hata juu, kwenye altare yako mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa