Ingia / Jisajili

BIKIRA MARIA SALAMA YA WAGONJWA

Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria

Umepakiwa na: Damasi Michaeli

Umepakuliwa mara 244 | Umetazamwa mara 736

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bikira Maria salama ya wagonjwa, msimazi na mwombezi wetu daima, (utuombee, utuombee kwa mwanao)X2 1.uliye nyota ya Bahari waombee wagonjwa wapate kitulizo 2.uliye mlango wa mbinguni waombee wahudumu wa afya ufanisi. 3.uliye sanduku la agano waombee watawa wetu nguvu na imara.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa