Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 1,257 | Umetazamwa mara 3,584
Download Nota Download MidiBWANA ALIKUWA TEGEMEO LANGU
KIITIKIO:Bwana alikuwa tegemeo langu akanitoa akanipeleka panapo nafasi x2
MASHAIRI:
1.Akanitoa akanipeleka panapo nafasi, akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
2.Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu,sawasawa na usafi wa mikono yangu.
3.Akanilipa maana nimezishika njia za Bwana,njia za Bwana maana sikumwasi Mungu.