Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 383 | Umetazamwa mara 1,296
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C
EE BWANA WEWE NDIWE MWENYE HAKI
KIITIKIO; Ee Bwana wewe ndiwe mwenye haki na hukumu zako ni za Adilix2
MASHAIRI
1.Kama zilivyo rehema zako,umtendee mtumishi wako.
2.Na amri zako amri zako,unifundishe unifundishe.
3.Mimi mtumishi mtumishi wako,unifahamishe unifahamishe.