Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 497 | Umetazamwa mara 2,030
Download Nota Download MidiBWANA AMEJAA HURUMA
KIITIKIO:Bwana amejaa huruma na neema(Bwana),Bwana amejaa huruma na neema x2.
MASHAIRI
1.Ee nafsi yangu umhimidi Bwana naam vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu ee nafsi yangu umhimidi Bwana wala usizisahau fadhili zake zote.
2.Akusamehe maovu yako yote akuponya magonjwa yako yote aukomboa uhai wako na kaburi aukomboa uhai wako na kaburi akutia taji ya fadhili na rehema.
3.Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki na hukumu zake kwa wote wanaoonewa alimjulisha Musa njia yake alimjulisha Musa njia yake wana wa Israeli matendo yake.