Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 410 | Umetazamwa mara 1,493
Download Nota Download MidiMUNGU AMEPAA
KIITIKIO:Mungu amepaa kwa kelele za shangwe x 2,Bwana kwa sauti,Bwana kwa sauti,Bwana kwa sauti ya baragumu x 2.
1.Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe, kwa kuwa Bwana aliye juu mwenye kuogofya ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
2.Mungu amepaa kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya baragumu,mwimbieni Mungu naam imbeni mwimbieni mfalme wetu naam imbeni.
3.Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote imbeni kwa akili Mungu awamiliki mataifa,Mungu awamiliki mataifa Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.