Ingia / Jisajili

Bwana Alikuwa Tegemeo Langu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 8 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 8 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 8 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana alikuwa (ndiye) tegemeo langu akanitoa akanipeleka panapo (panapo) nafasi (naye) akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami X2

1. Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa

2. Maana nimezishika nimezishika njia za Bwana wali sikumwasi Mungu wangu sikumwasi Mungu wangu

3. Bwana ni jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu Mungu wangu Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia

4. Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa hivyo nitaokoka na adui zangu adui zangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa