Ingia / Jisajili

Kwa Kuwa Ninyi Mmekuwa Wana

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 475 | Umetazamwa mara 1,329

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Utatu Mtakatifu Mwaka A
- Antifona / Komunio Utatu Mtakatifu Mwaka B
- Antifona / Komunio Utatu Mtakatifu Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Na kwa kuwa ninyi mmekuwa wana Mungu alimtuma Roho wa Mwanawe mioyoni mwetu aliaye Aba yani Baba X2

1. Kama ni hivyo basi si mtumwa tena bali u mwana na kama u mwana basi u mrithi wa Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa