Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utege Sikio

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 18,049 | Umetazamwa mara 27,924

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana, Ee Bwana utege sikio lako unijibu x 2
Wewe uliye Mungu wangu, umwokoe mtumishi wako, mtumishi wako anayekutumaini x 2

  1. Ee Bwana unifadhili wewe Bwana unifadhili kwa maana nakulilia wewe mchana kutwa.
     
  2. Kwa maana wewe Bwana wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe watu wote wakuitao.

Maoni - Toa Maoni

Anthony Mtoni Ng'webeya Feb 04, 2023
Napenda sana nyimbo za mgandu

silas Jun 09, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe metadata by

Toa Maoni yako hapa