Ingia / Jisajili

Aleluya (Noeli)

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 542 | Umetazamwa mara 720

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya X2

1. Siku hii takatifu imetung'aria enyi mataifa yote njoni mkamwabudu Bwana

2. Kwa sababu leo ni mwanga mwanga mkubwa kweli umeshuka duniani aleluya aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa