Ingia / Jisajili

Bwana amejaa huruma

Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 381 | Umetazamwa mara 1,068

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
kiitikio. Bwana amejaa huruma, amejaa huruma huruma na neeema. Shairi. 1.Ee nafsi yangu umuhimidi Bwana, vyote vilivyo ndani yangu,vilihimidi jina lake takatifu. 2. Ee nafsi yangu umuhimidi Bwana wala usisahau wema wake. 3. Akusamehe dhambi zako zote,nakuponya magonjwa yako yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa