Ingia / Jisajili

TUNAKUSHUKURU BWANA YESU

Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 285 | Umetazamwa mara 1,165

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Tunakushukuru Bwana Yesu,asante twashukuru,Umetulisha mwili wako na kutunywesha damu yako,Asante sante. 1. Shibisha roho yangu Yesu, maliza kiu yangu Yesu,zia dhambi kubwa katika moyo wangu Yesu wangu mpenzi. 2.Nao ulimi wangu Yesu, usiogope kamwe Yesu,pia macho yangu yatenge na maovu Yesu wangu mpenzi. 3. Moyoni mwangu Yesu mpenzi,ukae mwangu Yesu mwema,nami nikae mwako Yesu wangu mpenzi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa