Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 528 | Umetazamwa mara 1,907
Download Nota Download MidiEE NAFSI YANGU UMSIFU BWANA
KIITIKIO: Ee nafsi yangu umsifu Bwana, ee nafsi yangu umsifu Bwana X2,Umsifu Bwana umsifu ee nafsi yangu umsifu Bwana X2.
MASHAIRI;
1.Bwana huishika kweli milele, huwafanyia hukumu walioonewa,huwapa wenye njaa chakula,Bwana huwafungua walioonewa.
2.Bwana huwafumbua macho waliofungwa,naye huwainua walioinama,Bwana huwapenda wenye haki,Naam huwahifadhi wageni.
3.Bwanahuwategemeza yatima na mjane,bali njia ya wasio haki huipotosha,Bwana atamiliki milele Mungu wako ee sayuni ki-zazi.