Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C
MAOMBI YANGU YAFIKE
Maombi yangu yafike, mbele zako, uutegee ukelele wngu, sikio lako Ee Bwana x2
1. Ee Bwana Mungu wa wokovu wangu, mchana na usiku nimelia mbele yako, maana nafsi yangu imeshiba taabu, na uhai wangu umekaribia kuzimu