Ingia / Jisajili

Bwana kama ungehesabu maovu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 761 | Umetazamwa mara 2,293

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana kama wewe ungehesabu maovu nani angesimama nani angesimama nani angesimama mbele yako Bwana.x2

  • 1.Lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe, Ee Mungu wa Israeli.
  • 2.Nimemgonja Bwana roho yangu imengoja, na neno lake nimelitumainia.
  • 3.Ee Bwana toka vilindini nalikulilia, Bwana usikie usikie sauti yangu masikio yako yaisikilize sauti ya dua zangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa