Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 772 | Umetazamwa mara 1,989
Download Nota Download MidiAstahili mwanakondoo aliyechinjwa, kupokea uweza na utajiri, na uweza na nguvu na heshima x2
1.Baraka na heshima na utukufu una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi hata milele, milele na milele.
2.Ukuu na uwe na utukufu una yeye aketiye juu ya kiti cha enze hata milele, milele na milele.
3.Na sisi inatupasa kujiuliza kama kweli tuna mtumikia mfalme huyu tunajiweka chini ya utawala wake.