Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 709 | Umetazamwa mara 2,000
Download Nota Download MidiSesilia Sesilia Sesilia Sesilia Sesilia somo wetu msimamizi wa Waimbaji, Sesilia somo wetu mwaminifu (Tujalie) upendo (na umoja) kwa waimbaji (tuombee) kwa Mungu (Atumiminie) baraka zake {Sesilia somo wetu (Utuombee) Waimbaji (Sesilia) tuongoze tufikishe mbinguni x2}
1.Sesilia (Sesilia) tuondolee majivuno, Imba nasi (Sesilia) simamia utume wetu. Tuongoze (Sesilia) tumwimbie Mungu bila kuchoka.
2.Mungu wetu ametujalia sauti nzuri, Tumsifu tumuimbie nyimbo tamu tamu. Nyimbo zetu ziwe manukato yake mbinguni.
3.Mtakatifu Sesilia Msimamizi wa Waimbaji tuombee kwa Mungu katika utume wetu tupate wana kwaya wengi walio watakatifu.