Ingia / Jisajili

Nimrudishie Bwana Nini?

Mtunzi: Wolford P. Pisa
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 192 | Umetazamwa mara 799

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka C
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Nimrudishie Bwana nini? kwa ukarimu wake wote, 

(Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana)*2

MASHAIRI

  1. Haleluya nampenda Bwana kwa kuwa anaisikiliza sauti sauti ya dua zangu, (kwa maana amenitegea sikio lake, kwa hiyo nitamwita siku siku zangu zote)*2
  2. Kamba za mauti zilinizunguka shida za kuzimu zilinipata naliona tabu na huzuni, ( Nikaliitia jina la Bwana Ee Bwana, nakuomba sana uniokoe nafsi yangu)*2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa