Ingia / Jisajili

NJOO KWETU MASIHA

Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 1,010 | Umetazamwa mara 3,483

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Njoo kwetu, njoo Masiha, njoo utuokoe*2

MASHAIRI

  1. Tunakungoja Bwana, njoo utupe shime, Njoo utuokoe.
  2. Utufungulie milango ya mbinguni, njoo utuokoe.
  3. Tunakungoja Bwana njoo utuokoe, njoo utuokoe.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa