Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,702 | Umetazamwa mara 9,176
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
Kiitikio:
Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu, Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu (x2)
Mashairi:
1. Ee Mungu, e Mungu, kwa jina lako uniokoe na kwa uweza uweza wako unifanyie hukumu.
2. Ee Mungu, e Mungu uyasikie maombi yangu uyasikilize uyasikilize maneno ya kinywa changu.
3. Tazama Mungu ndiye anayenisaidia, Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu.