Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 3,744 | Umetazamwa mara 8,861
Download Nota Download MidiMT28:19-20
DBM WASONGA
AUGUST 2012
UKONGA PARISH,DSM.
Enendeni duniani kote (nendeni) mkawafanye mataifa yote mkawafanye kuwa wanafunzi wangu. Mkiwafundisha yale yote niliowaamuru ninyi. Mkiwabatiza kwa jina la Baba, mkiwabatiza kwa jina la Mwana, mkiwabatiza kwa Roho Mtakatifu, mkiwafundisha yote niliyo waamuru, nami nipo pamoja nanyi mpaka mwisho wa dahari.
1. Nitakuwa nanyi mpaka mwisho wa dunia kwa kuwa nimepewa, nimepewa mamlaka yote, nimepewa mamlaka yote, mbinguni na duniani.
2. Aminiye na kubatizwa , yeye aminiye na kubatizwa ataokoka, ataokoka.