Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 2,390 | Umetazamwa mara 6,251
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
Kiitikio
Bwana asema mimi ni wokovu, wokovu wa watux 2
Wakinililia katika taabu yoyote nitawasikiliza, nami nitakuwa Bwana wao milele.
Mashairi
1. Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu, na ngome yangu Mungu wangu nitakaye mtumaini.
2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu sana, mwenye kusifiwa na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
3. Kwa maana Bwana Mungu wetu ndiye Mtakatifu, ametukuka juu ya miungu miungu yote.