Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Shukrani | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 1,888 | Umetazamwa mara 4,671
Download Nota Download Midinakurudishia sifa mungu wangu unayenipenda, wanipenda mimi siku zote na familia yangu nitakuimbia milele yote nitakusifu milele yote nitalitaja jina lako na kulisifu jina lako uliye Mungu wetux2 daima milele nitalitaja nakulisifu jina lako
1.wewe mungu wangu wanipenda wanipenda siku zote wanipenda upeo upendo wa ajabu
2.naahidi mungu wangu kukuimbia siku zote za maisha yangu