Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 397 | Umetazamwa mara 2,542
Download Nota Download MidiHuruma,huruma ya Mungu Baba yawaokoa watu wake wote ni huruma ya Mungu ya waokoa woteX2 wema na wabaya waokolewa na huruma huruma ya Mungu babaX2 ni huruma ya Mungu yawaokoa wote 1. 1.Inawajali na kuwatunza ,yawaongoza watu wote 2,Inawaponya inawatunza,nakuwaumba watu wote 3.Yawakusanya yawafikia na kuwagusa watu wote