Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Ndoa | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 1,286 | Umetazamwa mara 4,801
Download Nota Download MidiAsante bwana Yesu kutulisha mwili wako asante bwana Yesu kutunywesha damu yako mwili wako ni chakula chenye uzima damu yako ni kinywaji chenye uzima bwana asante tunakushukuru
1. Yesu asante sana asante sana kwa chakula bwana asante tunakushukuru sana
2.Yesu asante sana asante sana kwa kwa kinywaji bwana asante tunakushukuru sana
3. umetulisha pia umetunywesha twashukuru bwana asante tunakushukuru sana