Ingia / Jisajili

Bwana amefufuka

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 101 | Umetazamwa mara 698

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

bwana amefufuka kweli amefufuka (aleluya aleluya bwana amefufuka) x2

1. Ameshinda mauti mauti ya msalaba, tumshangilie bwana kafufuka

2. bwana amefufuka twimbe aleluya, utukufu na ukuu una yeye milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa