Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 657 | Umetazamwa mara 2,248
Download Nota Download MidiBWANA NITAKUTUKUZA Zab 30:1, 3-5
Bwana nitakutukuza, Bwana nitakutukuza, maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
1. Umeniinua nafsi yangu kutoka kuzimu, umeniinua na kunitoa miongoni mwao washukao shimoni
2. Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa, nakufanya shukrani kuu, kwa kumbukumbu la utakatifu
3.Na ghadhabu zake za kitambo kitambo kidogo, hata radhi yake ina uhai, huenda kilio baadaye furaha