Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 1,390 | Umetazamwa mara 4,820
Download Nota Download MidiNIMEYAJUA MAKOSA YANGU Zab 51: 1, 3-5, 9
Maana nimeyajua mimi makosa yangu- yote na dhambi yangu i mbele yangu i mbele yangu daimax 2, nimekutenda dhambi, nimekutenda dhambi, nimekutenda dhambi wewe peke yako, na kufanya maovu mbele ya macho yako wewe Bwanax 2
Hitimisho (wote)
Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako, kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu (Uniumbie moyo safi) Uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyo tulia ndani yangu, (usinitenge na uso wako, wala Roho Mtakatifu usiniondolee)x 2