Mtunzi: Adolf A. Katambi
                     
 > Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi                 
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 465
                    Wimbo huu unaweza kutumika: 
                                            - Mwanzo Dominika ya 19 Mwaka A
                                            - Mwanzo Dominika ya 19 Mwaka B
                                            - Mwanzo Dominika ya 19 Mwaka C
                                    
Ee  Bwana    ulitafakari  ulitafakari  agano  usiusahau milele uhai wa  watu  wako  walioonewa. x 2
MASHAIRI
1. Ee  Mungu  usimame  ujitetee  mwenyewe  usiisahau sauti   usiisahau  sauti  ya  watesi  wako.
2. Kwa maana  penye giza  katika  nchi pamejaa  pamejaa ukatili   pamejaa makao  makao   ya ukatili.
3. Aliyeonewa   asirejee asirejee  ametiwa haya  mnyonge na mhitaji na  walisifu  jina  lako.