Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 121 | Umetazamwa mara 341
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C
Macho yangu humwelekea Bwana (wangu) Bwana daima x 2 (Naye atanitoa naye atanitoa miguu yangu katika wavu.) x 2
MASHAIRI
1. Uniangalie na kunifadhili maana mimi mimi ni mkiwa na mteswa.
2. Bwana ni mwema na mwenye fadhili kwahiyo Bwana atawafundisha wenye dhambi njia.